DAR ES SALAAMM; Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Zan Securities Limited, Raphael Masumbuko, uwekezaji wa pamoja umeanza kuwa chachu ya kuwainua kiuchumi Watanzania wengi. Amesema hatua hiyo inatokana na m ...
SERIKALI imesema sekta binafsi inatarajiwa kuchangia Sh trilioni 60.1 katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2026/2027 ambazo ni sawa na asilimia 69.6 ya kiasi kitakachotumika. Waziri wa N ...
SERIKALI imetaja vipaumbele vitano katika mapendekezo ya mfumo na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2026/2027. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema hayo wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya Mfumo ...
GEITA; MTANDAO wa Polisi Wanawake (PFT-NET) mkoa wa Geita, umeeleza kuridhishwa na kuunga mkono programu ya ustadi, uwezo na maarifa inayotolewa na Jeshi la Magereza wilayani Chato kwa wafungwa.
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kulinda amani, umoja wa kitaifa na utulivu wa kisiasa. Alisema hayo alipopokea salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres ...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza mkakati maalum wa kuwafikia watu wenye mahitaji maalum kwa kuwapa elimu ya faragha na kuelimisha kuhusu haki zao wanapokuwa kwenye mitandao ya kijamii.
TUME ya Uchunguzi ya matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga ...
PWANI: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanao ...
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mtoto huyo alipewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabo ...
KAGERA: Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mikakati na jitihada za kukabiliana na magonjwa ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results