SERIKALI imesema sekta binafsi inatarajiwa kuchangia Sh trilioni 60.1 katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2026/2027 ambazo ni sawa na asilimia 69.6 ya kiasi kitakachotumika. Waziri wa N ...
SERIKALI imetaja vipaumbele vitano katika mapendekezo ya mfumo na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2026/2027. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema hayo wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya Mfumo ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kulinda amani, umoja wa kitaifa na utulivu wa kisiasa. Alisema hayo alipopokea salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres ...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza mkakati maalum wa kuwafikia watu wenye mahitaji maalum kwa kuwapa elimu ya faragha na kuelimisha kuhusu haki zao wanapokuwa kwenye mitandao ya kijamii.
TUME ya Uchunguzi ya matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga ...
PWANI: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanao ...
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mtoto huyo alipewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabo ...
KAGERA: Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mikakati na jitihada za kukabiliana na magonjwa ya ...
FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitafanyika mwaka 2027 kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Kutokana na hali hiyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana ...
“Tuzo za Mastercard ni uthibitisho wa mkakati wetu wa kubadilisha na kuinua viwango vya huduma za kibenki za hadhi ya juu nchini Tanzania, anasema Lyimo ...
Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumanne, kampuni hiyo iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Paul ...
MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kutumika vibaya kwa kubeba ajenda za watu wasizozijua. Kihongosi ameeleza ...