MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu katika makazi yake ya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo, Machi 11, 2026. Mtoto huyo alitelekezwa awali ka ...
Rais Aoun apendekeza mpango kuelekea "usalama na utulivu wa kudumu", huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yakiendelea.
Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wake wanne wakuu, Sudan iliishtumu Ethiopia kwa kuruhusu ndege zisizokuwa na rubani kuishambul ...
Katika vyumba vya habari vya magazeti, siku zote kuna sauti nyingi zinazochanganyika. Humo waandishi wanakusanya taarifa, ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo ...
DAR ES SALAAM:RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho Machi 3, 2026 katika hafla ya uwekaji ...
Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mara mbili na kuisaidia klabu yake ya soka ya Marseille kutoka nchini Ufaransa kutoka nyuma na kuifunga Lyon mabao 3-2 katika mechi ya muhimu ya ligi kuu Ligue 1.
Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usafiri.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha tano kutoka Isaka-Mwanza. Picha na Saada Amir Mwanza. Wakati ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results