MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu katika makazi yake ya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo, Machi 11, 2026. Mtoto huyo alitelekezwa awali ka ...
Rais Aoun apendekeza mpango kuelekea "usalama na utulivu wa kudumu", huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yakiendelea.
Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, ameutaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kueleza ni hatua gani ...
Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya  jeshi la Rwanda na maafisa wake wanne wakuu, Sudan iliishtumu Ethiopia kwa kuruhusu ndege zisizokuwa na rubani kuishambul ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
MKANDARASI anayejenga Kiwanda cha Uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ameongezewa miezi mitatu akamilishe kazi hiyo. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ...
DAR ES SALAAM: MRADI wa ujenzi wa jengo la kiwanda cha uchapaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), umefikia asilimia ...