Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika leo Machi 9,2026 jijini Pretoria, Afrika Kusini kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano ...
MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, ni miongoni mwa wanawake viongozi wachache waliokua katika familia ya wazazi wapenda ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
Marais wanane wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wanatarajia kukutana katika Jiji la Arusha, Machi 7 ...
Vifaa vilivyotolewa na kampuni ya Helios Towers ni kompyuta 26, 'projekta', vifaa vya matengenezo, 'whiteboard', TV janja na miundombinu yote muhimu ya maabara.
Ligi kuu za ukanda wa Afrika Mashariki zimeendelea kushika kasi wakati huu, vinara wa ligi hizo wakijaribu kuendelea kusalia ...
Katika zama za ushindani wa kidijitali, uaminifu wa chanzo cha habari unatajwa kuwa mtaji mkuu. JAB yasema ithibati si udhibiti wa maudhui, bali ni uwekezaji wa ...
Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakiukaribisha mwaka mpya wa 2026, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wameeleza mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa ili kuimarisha amani, umoja, utulivu na ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa ujumbe mzito wa Mwaka Mpya kwa ulimwengu akisema ulimwengu uko katika njia panda, ukikabiliwa na machafuko, sintofahamu na migawanyiko mikubwa ...