Shirika la Habari la Iraq limeripoti wafanyakazi 38 waliokolewa na mtu mmoja amefariki, likimnukuu afisa wa kijeshi.
Baada ya zaidi ya miaka 66 ya ushirikiano wa kihistoria katika tasnia ya habari Afrika Mashariki, hatua mpya imeanza kufuatia uamuzi wa Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kuuza hisa zake k ...
PICHA zinazoonyesha mlinzi, Rushine De Reuck akisaini mkataba mpya wa Simba juzi hazikunipita bure. Ilikuwa lazima nitie ...
Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba Baraza la Wataalamu Machi 8 limemteua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wa ...
Picha mpya zinaonyesha kile ambacho wachunguzi wanasema ni kombora la Marekani la Tomahawk lililoanguka mita chache kutoka kwenye shule na linalodaiwa kuwaua zaidi ya watu 165 mwanzoni mwa vita vilivy ...
Ingawa Israel na Marekani zimeonya kwamba Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, aliyeteuliwa siku ya Jumapili jioni, atalengwa na ...
Baraza la Wataalamu la Iran limemchagua Mojtaba, mwana wa Ali Khamenei, kuwa kiongozi mkuu mpya wa nchi. Uteuzi wake unaonyesha kwamba utawala wa Iran, ulioko vitani na Marekani na Israel, umechagua n ...
Bw Mojtaba ni mtoto wa marehemu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika wimbi la awali la mashambulizi yaliyoanzishwa ...
Israel imetangaza mapema Jumatatu asubuhi, Machi 9, kwamba imefanya mashambulio mapya nchini Iran dhidi ya "miundombinu ya ...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lagangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wanatarajiwa kupunguziwa adha ya msongamano ...
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi wa jumuiya hiyo. RAIS ...