Shirika la Habari la Iraq limeripoti wafanyakazi 38 waliokolewa na mtu mmoja amefariki, likimnukuu afisa wa kijeshi.
JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye ...
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Education Link Ltd wamesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano yenye lengo la kukuza tafiti, ubunifu ...
Zaidi ya miongo minne baada ya Mapinduzi ya mwaka 1979 kuwaleta watawala wa Iran madarakani, sasa wanakabiliwa na wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea. Mashambulizi ya pamoja ya anga ya Marekani na ...
Jeshi la Iran limeapa kuendelea kushambulia miundombinu ya kiuchumi ya Marekani na Israel katika eneo zima la Mashariki ya Kati. Hayo yanajiri wakati Mojtaba Khamenei, akiwa bado hajasema lolote kuhus ...
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini akitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, ...
WAKATI Mbeya City ikitimkia Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Singida Black Stars, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonesha kuridhishwa na ubora wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results