Viongozi wa kidini wa Iran wanatathmini wateuliwa wa kumrithi kiongozi wao mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa wiki iliyopita. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ...
Mwandishi maalum wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya Alhamisi huko Geneva kwamba dunia imeingia katika "enzi mpya ya unyanyasaji" kwa jina la mapambano dhidi ya ugaidi, ambayo amesema Marekani inayatu ...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lagangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wanatarajiwa kupunguziwa adha ya msongamano ...
Baada ya zaidi ya miaka 66 ya ushirikiano wa kihistoria katika tasnia ya habari Afrika Mashariki, hatua mpya imeanza kufuatia uamuzi wa Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kuuza hisa zake k ...
Mojtaba Khamenei ametoa taarifa yake ya kwanza tangu achukue madaraka kama kiongozi mkuu wa Iran. Ameapa kulipiza kisasi ...
Ingawa Israel na Marekani zimeonya kwamba Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, aliyeteuliwa siku ya Jumapili jioni, atalengwa na ...
Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa kuongezeka kwa taarifa potofu duniani kumeanza kudhoofisha juhudi za misaada ya kibinadamu na hivyo kuyatumbukiza maisha ya watu kwenye hatari.
Katika uchambuzi wetu tunaangazia njia tofauti wa jinsi vita vya Iran vinaweza kutamatika, huku kukiwa na hofu wa Iran kugeuza vita hivi kuwa "vita vya rasilimali ya maji" dhidi ya jirani zake eneo la ...
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran tayari vimeonyesha gharama kubwa kwa watu duniani kote huku mzozo wa mafuta na ugavi unapoanza kuonekana wazi.
Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari – CPJ imetoa ripoti mpya inayoonesha kuwa wanahabari 125 waliuwawa kote duniani mwaka 2025.
Bw Mojtaba ni mtoto wa marehemu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika wimbi la awali la mashambulizi yaliyoanzishwa ...
Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, anatarajiwa kupinga mashtaka mawili mapya ya ubakaji yaliyowasilishwa dhidi yake, mahakama imeelezwa.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results