Viongozi wa kidini wa Iran wanatathmini wateuliwa wa kumrithi kiongozi wao mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa wiki iliyopita. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ...
Baada ya zaidi ya miaka 66 ya ushirikiano wa kihistoria katika tasnia ya habari Afrika Mashariki, hatua mpya imeanza kufuatia uamuzi wa Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kuuza hisa zake k ...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lagangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wanatarajiwa kupunguziwa adha ya msongamano ...
Shirika la Habari la Iraq limeripoti wafanyakazi 38 waliokolewa na mtu mmoja amefariki, likimnukuu afisa wa kijeshi.
Ingawa Israel na Marekani zimeonya kwamba Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, aliyeteuliwa siku ya Jumapili jioni, atalengwa na ...
Israel imetangaza mapema Jumatatu asubuhi, Machi 9, kwamba imefanya mashambulio mapya nchini Iran dhidi ya "miundombinu ya ...
Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani usiku kucha ilitoa picha ya kile inachosema ni meli kadhaa za wanamaji za Iran ...
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba Baraza la Wataalamu Machi 8 limemteua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wa ...
Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa kuongezeka kwa taarifa potofu duniani kumeanza kudhoofisha juhudi za misaada ya kibinadamu na hivyo kuyatumbukiza maisha ya watu kwenye hatari.
Bw Mojtaba ni mtoto wa marehemu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika wimbi la awali la mashambulizi yaliyoanzishwa ...
Picha mpya zinaonyesha kile ambacho wachunguzi wanasema ni kombora la Marekani la Tomahawk lililoanguka mita chache kutoka kwenye shule na linalodaiwa kuwaua zaidi ya watu 165 mwanzoni mwa vita vilivy ...
PICHA zinazoonyesha mlinzi, Rushine De Reuck akisaini mkataba mpya wa Simba juzi hazikunipita bure. Ilikuwa lazima nitie ...