Shirika la Habari la Iraq limeripoti wafanyakazi 38 waliokolewa na mtu mmoja amefariki, likimnukuu afisa wa kijeshi.
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Education Link Ltd wamesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano yenye lengo la kukuza tafiti, ubunifu ...
Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani usiku kucha ilitoa picha ya kile inachosema ni meli kadhaa za wanamaji za Iran ...
Rais wa Marekani Donald Trump alisema Iran ina hamu ya kufanya mazungumzo na kwamba mazungumzo huenda "yakawezekana." Hata hivyo, matamshi yake yanakuja huku maafisa wa ulinzi wakisema wanaanzisha awa ...
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini akitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, ...
Jeshi la Iran limeapa kuendelea kushambulia miundombinu ya kiuchumi ya Marekani na Israel katika eneo zima la Mashariki ya Kati. Hayo yanajiri wakati Mojtaba Khamenei, akiwa bado hajasema lolote kuhus ...
Chad imefunga mpaka wake na Sudan, inayokabiliwa na vita kwa lengo la kuthibitisha tena kutoegemea upande wowote katika mzozo huo mbaya licha ya shutuma za kuwaunga mkono wanamgambo wa Sudan.
WAKATI Mbeya City ikitimkia Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Singida Black Stars, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonesha kuridhishwa na ubora wa ...
JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results