BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza rekodi bora ya kutopoteza, baada ya kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali iliyopigwa leo... UO ...
Wapo wanawake waliopitia manyanyaso ya kijamii na kifamilia, huku wengine wakageuzwa kichekesho kutokana na muonekano wa ...
Wapo wanawake waliopitia manyanyaso ya kijamii na kifamilia, huku wengine wakageuzwa kichekesho kutokana na muonekano wa ...
KATIKA kuhakikisha Pemba inafunguka kimichezo, Bodi ya Ligi Zanzibar (ZBL) ipo katika mazungumzo ya kuomba kuutumia uwanja ...
KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya ...
KUELEKEA mechi ya Dar es Salaam Dabi, itakayopigwa kesho Machi 15, kocha wa Azam, Florent Ibenge, ametaja sifa tatu za wapinzani hao huku akisema kuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves ana ufundi wa hal ...
KAMA ingekuwa Bongo basi ingekuwa rahisi kusema kwamba huo ni zengwe. Supastaa wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes ameshangazwa na kuvunjika moyo baada ya kukosolewa kuhusu ujumbe ...
UNAISHIJE bila kujua Kylian Mbappe anapiga mapigo gani anapotoka katika mitoko yake ya kawaida? Vinicius Junior je? Vipi kuhusu supastaa kinda wa soka anayeutikisa ulimwengu wa sasa Lamine Yamal?
Serikali ya Tanzania imelipa Dola Milioni 32 (zaidi ya Sh80 Bilioni) kwa Confederation of African Football (CAF) kama sehemu ...
MTU mmoja aliniuliza kama tunaweza kumpata Ronaldinho Gaucho mwingine katika mpira. Nilimjibu “Hapana tusahau”. Tusahau tu.
ATLETICO Madrid ipo tayari kumuuza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julian Alvarez mwenye umri wa miaka 26, katika ...
VINICIUS Junior hapana shaka ndiye mchezaji wa Brazil ambaye jina lake linaimbwa katika maeneo mengi duniani kutokana na kiwango bora anachoonyesha katika kikosi cha Real Madrid.