JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye ...
MAMBO si shwari. Tottenham Hotspur imendelea kuzorota chini ya kocha Igor Tudor. Kipigo cha aibu cha mabao 5-2 ilichopata ...
MANCHESTER City inakabiliwa na kazi kubwa sana ili kuendelea kuwa na matumaini ya kusonga mbele kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya ...
MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya ...
JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet. Fainali hiyo itafanyika Machi 15, 2026 katika Uwanja wa Mirongo mjini Mwanza, ...
ALIYEKUWA Kocha wa viungo na utimamu wa mwili wa Yanga raia wa Bosnia-Herzegovina, Adnan Behlulovic ameanza mazungumzo ya kujiunga na Azam FC kwa ajili ya kuongezea nguvu ndani ya kikosi hicho.
ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe Jamhuri, Dodoma huku wenyeji wa ...
Beki Kyle Walker ametangaza kustaafu rasmi kuitumikia timu ya taifa ya England baada ya kupoteza nafasi yake katika kikosi ...
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, ...
Kagoma alitua Simba Julai 8, 2024 akitokea Singida Fountain Gate ambayo sasa ni Fountain Gate. Katika kipindi cha miaka miwili akiwa Simba, amekuwa mchezaji muhimu eneo la kiungo licha ya kusajiliwa ...
KOSA kubwa la kipa wa Chelsea, Filip Jorgensen lilipelekea timu hiyo kuporomoka mwishoni mwa mechi huku Khvicha Kvaratskhelia akifunga mabao mawili na kuifanya Paris Saint-Germain kuwa na ...
LONDON, ENGLAND: KOCHA Igor Tudor amekiri kuwa mambo yote yanaonekana kwenda vibaya Tottenham Hotspur huku shinikizo likiongezeka juu ya nafasi yake baada ya aibu waliyoipata katika mechi ya Ligi ya ...