Chunya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza uzalishaji wa zao la ufuta kutoka kilo milioni 2.4 zilizozalishwa msimu uliopita hadi kufikia kilo milioni ...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, AshaRose Migiro, amefanya mazungumzo jijini Dodoma na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa ...
Mkuu wa kitengo Cha mawasiliano wa Jiji la Dodoma, Denis Gondwe akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 11, 2026 kuhusu wamiliki wa viwanja Jijini humo kuendeleza viwanja vyao kabla havijatwaliwa ...
Dar es Salaam. Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha kutokea jijini Paris, ambaye amejipa utofauti kwa kupiga picha katika maeneo ya kipekee. Jean ...
Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Saturn Corporation, Mehul Sachdev (wa pili kushoto) akifafanua kuhusu shughuli mbalimbali za kampuni hiyo kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Chen Mingjian ...
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, ambaye amewapa tahadhari wachezaji wake kuelekea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Picha na Mtandao Meneja wa Manchester City, Pep ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kutafuta njia salama za kuwasaidia Watanzania wengine waliopo ukanda wa Mashariki ya Kati kurejea nyumbani, kufuatia hali ya usalama inayoendelea ...
Dar es Salaam. Wananchi wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa wameonyesha wazi imani yao kwa Mkuu wa Wilaya (DC) anayekaimu, Peter Lijualikali, wakitaka aendelee kubaki katika nafasi hiyo baada ya ...
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), Profesa Maulilio Kipanyula(kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Global Education Link Ltd,Abdulmalik Mollel ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) iliyoanza utekelezaji Machi 8, 2026 na itaaanza tena ...
Dar es Salaam. Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika, Parfait Onanga-Anyanga, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi inayolenga kufanya mashauriano na Serikali ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi (mwenye reflecta ya orange) akikagua mradi wa ujenzi wa Soko kuu la Wilaya ya Bariadi. Bariadi. Katibu wa ...