Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) iliyoanza utekelezaji Machi 8, 2026 na itaaanza tena ...
Profesa Mahalu alifungua ukurasa mpya wa maisha yake ya umma mwaka 1996 aliposhawishiwa na Rais Benjamin Mkapa kuingia kwenye masuala ya kidiplomasia. Jeshi la Polisi lililazimika kutumia mabomu ya ...
Profesa Mahalu alifungua ukurasa mpya wa maisha yake ya umma mwaka 1996 aliposhawishiwa na Rais Benjamin Mkapa kuingia kwenye masuala ya kidiplomasia. Jeshi la Polisi lililazimika kutumia mabomu ya ...
Faima Twaibu, akifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela baada ya kutuhumiwa kujaribu kumuua mtoto wake baada ya kumzaa. Mwanza. Mfanyakazi wa kazi za nyumbani, Faima Twaibu (19), amefikishwa ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kufuatia kuendelea kwa ongezeko la mafua makali na Uviko19, ikitahadharisha kuwa hali hiyo ...
Dar es Salaam. Mjadala umeibuka miongoni mwa wadau wa sekta ya uchukuzi na wafanyabiashara kufuatia kutangazwa kwa ada mpya za mizigo ya ndani katika bandari nchini, huku baadhi wakidai zinaongeza ...
Winga wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya kufunga bao muhimu na kisha kulitoa zawadi kwa taifa la Iran huku akiomba hali ...
Barabara ya Morogoro inavyoonekana katika picha kuanzia Kibaha. Dar es Salaam. Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila ametaja sababu za kuchelewa kwa ujenzi wa ...
Dar es Salaam. Profesa wa sheria na mwanadiplomasia nguli, Profesa Costa Mahalu (77) amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake imethibitisha Profesa Mahalu amefariki dunia leo katika Taasisi ya ...
Musoma. Watu 38 ambao miongoni mwao walikuwepo viongozi, makada na wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanashikiliwa na Polisi mkoani Mara, kwa madai ya kufanya vurugu na ...
Mwonekano wa baadhi ya magari ya utalii, yakivuka eneo la Bwawa la Viboko vya Nabi,katika Hifadhi ya Taifa Serengeti leo Ijumaa Machi 6,2026 eneo ambalo ni miongoni mwa maeneo korofi yaliyoathiriwa na ...