Chunya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza uzalishaji wa zao la ufuta kutoka kilo milioni 2.4 zilizozalishwa msimu uliopita hadi kufikia kilo milioni ...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, AshaRose Migiro, amefanya mazungumzo jijini Dodoma na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa ...
Dar es Salaam. Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha kutokea jijini Paris, ambaye amejipa utofauti kwa kupiga picha katika maeneo ya kipekee. Jean ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imebatilisha hukumu na kufuta adhabu waliyopewa, aliyekuwa mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), Robert Kisena na wenzake wawili na kisha ...
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, ambaye amewapa tahadhari wachezaji wake kuelekea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Picha na Mtandao Meneja wa Manchester City, Pep ...
Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii alijikuta katika hali isiyo ya kawaida baada ya kufanya kosa moja la kitaaluma na kulikubali wazi pamoja na kuomba radhi. Hata hivyo, licha ya kuomba msamaha, ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kutafuta njia salama za kuwasaidia Watanzania wengine waliopo ukanda wa Mashariki ya Kati kurejea nyumbani, kufuatia hali ya usalama inayoendelea ...
Dar es Salaam. Wananchi wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa wameonyesha wazi imani yao kwa Mkuu wa Wilaya (DC) anayekaimu, Peter Lijualikali, wakitaka aendelee kubaki katika nafasi hiyo baada ya ...
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), Profesa Maulilio Kipanyula(kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Global Education Link Ltd,Abdulmalik Mollel ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi (mwenye reflecta ya orange) akikagua mradi wa ujenzi wa Soko kuu la Wilaya ya Bariadi. Bariadi. Katibu wa ...
Taarifa zimeibuka kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Iran walitoa ishara za kimataifa za kuomba msaada (SOS) walipokuwa wakirejea nyumbani ...
Profesa Mahalu alifungua ukurasa mpya wa maisha yake ya umma mwaka 1996 aliposhawishiwa na Rais Benjamin Mkapa kuingia kwenye masuala ya kidiplomasia. Jeshi la Polisi lililazimika kutumia mabomu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results