DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewaonya viongozi wa mashirikisho ya michezo nchini wanaoshindwa kutekeleza ahadi walizozitoa kwa wanachama wao kuwa wako ha ...
DAR ES SALAAM; Ucheshi! Mdau ametuandikia ujumbe akielezea kisa kilichomtokea na wenzake maeneo ya Sinza, Dar es Salaam ...
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuiuzia mahindi Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kusaidia nchi hiyo kukabiliana na uhaba wa chakula.
KIGOMA; WATUMISHI sita wa Idara ya Afya halmashauri ya Wilaya Kigoma mkoani Kigoma wamekufa, baada ya boti waliyokuwa ...
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa ...
MOROGORO: Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuongeza juhudi katika kulinda haki za watoto pamoja na kuimarika kwa usajili wa ...
MOROGORO: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga jengo la taaluma katika m ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari ya pamoja aliyowaand ...
TUME ya Rais ya Kutathmini Matumizi ya Ardhi katika Wilaya ya Ngorongoro imebaini ongezeko la watu, mifugo na makazi ndani ya hifadhi, jambo linaloongeza shinikizo kwenye ardhi na kuathiri mfumo wa ik ...
SERIKALI ya Tanzania imeeleza nia ya kuanzisha Mpango wa Kitaifa wa Maridhiano ili kuponya mipasuko ya kijamii na kuimarisha majadiliano miongoni mwa wananchi. Pendekezo hilo liliwasilishwa na Beatric ...
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) inakamilisha mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya ukanda wa Nyasa, baadhi vikiwa ndani ya Ziwa Nyasa. Vitongoji hivyo viko Ludewa, mkoani Njombe, na vingine K ...
TUME ya Rais ya Kutathmini Uhamaji wa Hiari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro imesema uamuzi wa serikali wa kuhamisha wananchi ...