La agencia advitió que el conflicto en Oriente Medio podría radicalizar a grupos vinculados con Irán dentro de Europa.
Hali inazidi kuwa tete katika eneo zima la Mashariki ya Kati huku Iran ikiendelea kujibu mashambulizi kwa kuilenga Israel na vituo vya kijeshi vya Marekani kwenye baadhi ya nchi washirika wa taifa hil ...
Serikali ya Marekani imelegeza kwa muda vikwazo vyake vya kiuchumi dhidi ya Urusi kwa kuruhusu mafuta yake yaliyotelekezwa kwa sasa baharini kuuziwa India.
Kampuni kubwa ya mafuta ya Shell imesaini mikataba kadhaa na serikali ya Venezuela inayohusu uchimbaji gesi asilia na mafuta kwenye taifa hilo la Marekani ya Kusini.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results