Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya bunge la Ulaya, David McAllister, kile kilichopaswa kuonekana kama kusherehekea demokrasia, kiligeuka kuwa vitisho, hofu na ukandamizwaji wa haki ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema nchi yake inahitaji usaidizi wa kifedha wa Ulaya kwa miaka miwili au mitatu mingine ili kuweza kupambana na vikosi vya Urusi vilivyoivamia nchi hiyo.
Maafisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Urusi walimwambia Rais Putin kwamba kombora hilo lilirushwa kilomita 14,000 sawa na Maili 8,700 ambapo lilikuwa angani kwa takriban saa 15 wakati lilipofanyiwa ...
Umoja wa Ulaya kuweka mipango ya kuifadhili Ukraine kwa miaka miwili huku suala la kutumia mali zilizozuiwa za Urusi kufidia mikopo kwa Ukraine likiendelea kuwa tete. Viongozi wa Umoja wa Ulaya ...
Nottingham Forest imepata ushindi wa kihistoria, huku Viktoria Plzeň ikinusurika kupokonywa ushindi na kuilaza Roma, wakati Go Ahead Eagles ikiishangaza Aston Villa katika usiku wa kusisimua wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results