MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu katika makazi yake ya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo, Machi 11, 2026. Mtoto huyo alitelekezwa awali ka ...
Katika vyumba vya habari vya magazeti, siku zote kuna sauti nyingi zinazochanganyika. Humo waandishi wanakusanya taarifa, ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo ...
DAR ES SALAAM:RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho Machi 3, 2026 katika hafla ya uwekaji ...
Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usafiri.
Bodi ya uthibiti wa wanahabari nchini Tanzania, JAB, kwenye tarifa yake imesema kuwa wamebaini ongezeko kubwa la watu na vyombo vinavyochapisha habari bila kibali na kwamba wataanzisha operesheni ya ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), Dk Abdallah ...
IN SHORT: A Facebook post shared a manipulated front page falsely claiming that police had killed tens of thousands of Tanzanians. The Habari Leo's authentic 6 November 2025 edition carried a ...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, hip hop kutoka nchini Tanzania, Frida Amani, leo ametangazwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) kuwa Balozi mwema na Mchechemuzi wake wa kwanza wa ...
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema jumla ya waandishi wa habari 3,200 nchini wamepatiwa ithibati na kutambuliwa rasmi kufanya kazi ya ...