Profesa wa sheria na mwanadiplomasia wa muda mrefu, Costa Mahalu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77. Taarifa zinasema ...
Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Jumla ya mashahidi 76 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya madai ya fidia ya zaidi ya Sh. bilioni 40 inayomkabili Ashuru Ashuru na wenzake watano, wakishtakiwa na Kanali Naftari Swai pamoja na w ...
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
Hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu wa 2025/2026 inaanza wiki hii bila uwepo wa klabu za Tanzania kwa vile klabu za Yanga, Simba, Azam na Singida ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results