Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika leo Machi 9,2026 jijini Pretoria, Afrika Kusini kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano ...
MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, ni miongoni mwa wanawake viongozi wachache waliokua katika familia ya wazazi wapenda ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
Marais wanane wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wanatarajia kukutana katika Jiji la Arusha, Machi 7 ...
Vifaa vilivyotolewa na kampuni ya Helios Towers ni kompyuta 26, 'projekta', vifaa vya matengenezo, 'whiteboard', TV janja na miundombinu yote muhimu ya maabara.
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesajili rasmi dawa ya Lenacapavir kwa ajili ya kudhibiti na kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua inayotajwa kuleta mapinduzi katika tiba na kinga ...
Katika zama za ushindani wa kidijitali, uaminifu wa chanzo cha habari unatajwa kuwa mtaji mkuu. JAB yasema ithibati si udhibiti wa maudhui, bali ni uwekezaji wa ...
Katibu Mkuu wa Chedema, John Mnyika akitoa salamu za chama hicho kwenye ibada ya maziko ya Mzee Edwin Mtei nyumbani kwake Tengeru wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha leo Jumamosi Januari 24,2026.bPicha ...
Bodi ya uthibiti wa wanahabari nchini Tanzania, JAB, kwenye tarifa yake imesema kuwa wamebaini ongezeko kubwa la watu na vyombo vinavyochapisha habari bila kibali na kwamba wataanzisha operesheni ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results