Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika leo Machi 9,2026 jijini Pretoria, Afrika Kusini kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano ...
MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, ni miongoni mwa wanawake viongozi wachache waliokua katika familia ya wazazi wapenda ...
KATIKA ulimwengu wa soka ambao mara nyingi unaonekana kutawaliwa na wanaume, kuna wanawake wachache wanaothubutu kuvunja mipaka na kuonyesha wanaweza kufanya kazi kubwa sawa na wenzao.
Marais wanane wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wanatarajia kukutana katika Jiji la Arusha, Machi 7 ...
Vifaa vilivyotolewa na kampuni ya Helios Towers ni kompyuta 26, 'projekta', vifaa vya matengenezo, 'whiteboard', TV janja na miundombinu yote muhimu ya maabara.
Ligi kuu za ukanda wa Afrika Mashariki zimeendelea kushika kasi wakati huu, vinara wa ligi hizo wakijaribu kuendelea kusalia ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hatua ya usitishaji mapigano kati ya serikali ya Kongo na kundi lenye silaha la AFC/M23 inatarajiwa kuanza kutekelezwa leo saa sita mchana, chini ya upatanishi ...
Time is your biggest asset today, and Ganesha reminds you not to waste it. You may feel compelled to organise tasks, follow a tight schedule and bring discipline to your routine. Whether you rely on ...
Kesi ya kiongozi wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu imeendelea leo kwa ushahidi kutolewa. Baadhi ya wafuasi ...
Whereas Lent recalls Jesus' time of prayer and fasting in the desert, for a pope it is anything but solitary. The liturgical season instead opens 40 days of public appearances, liturgies and highly ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results