Viongozi wa kidini wa Iran wanatathmini wateuliwa wa kumrithi kiongozi wao mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa wiki iliyopita. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lagangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wanatarajiwa kupunguziwa adha ya msongamano ...
Ingawa Israel na Marekani zimeonya kwamba Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, aliyeteuliwa siku ya Jumapili jioni, atalengwa na ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amewakabidhi pikipiki, bajaji na maguta yenye thamani ya Sh.
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba Baraza la Wataalamu Machi 8 limemteua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wa ...
Israel imetangaza mapema Jumatatu asubuhi, Machi 9, kwamba imefanya mashambulio mapya nchini Iran dhidi ya "miundombinu ya ...
Israel inasema kuwa inafanya mashambulizi kote Iran na Lebanon huku mawaziri wa fedha wa G7 wakitarajiwa kufanya mkutano wa dharura kuhusu bei ya mafuta.
Mojtaba Khamenei ameteuliwa kuwa kiongozi mkuu mpya wa Iran na mrithi wa baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa siku ya kwanza ya vita na Marekani na Iran. Baadhi ya umati wa watu wanaounga ...
Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa kuongezeka kwa taarifa potofu duniani kumeanza kudhoofisha juhudi za misaada ya kibinadamu na hivyo kuyatumbukiza maisha ya watu kwenye hatari.
Bw Mojtaba ni mtoto wa marehemu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika wimbi la awali la mashambulizi yaliyoanzishwa ...
Picha mpya zinaonyesha kile ambacho wachunguzi wanasema ni kombora la Marekani la Tomahawk lililoanguka mita chache kutoka kwenye shule na linalodaiwa kuwaua zaidi ya watu 165 mwanzoni mwa vita vilivy ...
PICHA zinazoonyesha mlinzi, Rushine De Reuck akisaini mkataba mpya wa Simba juzi hazikunipita bure. Ilikuwa lazima nitie ...