BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza rekodi bora ya kutopoteza, baada ya kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali iliyopigwa leo... UO ...
JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye ...
MAMBO si shwari. Tottenham Hotspur imendelea kuzorota chini ya kocha Igor Tudor. Kipigo cha aibu cha mabao 5-2 ilichopata ...
ALIYEKUWA Kocha wa viungo na utimamu wa mwili wa Yanga raia wa Bosnia-Herzegovina, Adnan Behlulovic ameanza mazungumzo ya kujiunga na Azam FC kwa ajili ya kuongezea nguvu ndani ya kikosi hicho.
ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe Jamhuri, Dodoma huku wenyeji wa ...
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, ...
Beki Kyle Walker ametangaza kustaafu rasmi kuitumikia timu ya taifa ya England baada ya kupoteza nafasi yake katika kikosi ...
Bahati mbaya kidogo Pedro anafika Yanga wakati mtani wao Simba akiwa ameimarika baada ya kujisuka upya kwa haraka, hili nalo ...
KOSA kubwa la kipa wa Chelsea, Filip Jorgensen lilipelekea timu hiyo kuporomoka mwishoni mwa mechi huku Khvicha Kvaratskhelia akifunga mabao mawili na kuifanya Paris Saint-Germain kuwa na ...
LONDON, ENGLAND: KOCHA Igor Tudor amekiri kuwa mambo yote yanaonekana kwenda vibaya Tottenham Hotspur huku shinikizo likiongezeka juu ya nafasi yake baada ya aibu waliyoipata katika mechi ya Ligi ya ...
Kagoma alitua Simba Julai 8, 2024 akitokea Singida Fountain Gate ambayo sasa ni Fountain Gate. Katika kipindi cha miaka miwili akiwa Simba, amekuwa mchezaji muhimu eneo la kiungo licha ya kusajiliwa ...
Hii imefanya matumizi yote ya Man United kwa Sancho kufikia karibu Pauni 100 milioni, hata baada ya sehemu ya mshahara wake kulipwa na klabu alizokuwa kwa mkopo. Man United iliweza kurejesha karibu ...