Viongozi wa Ulaya wamethibitisha kuwa watajiunga na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy jijini Washington Agosti 18 katika mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusiana na kumaliza uvamizi wa ...
Urusi inashutumiwa kuhusika na tukio la kuzimika ghafla kwa mfumo wa GPS wa ndege iliyokuwa imembeba Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen wakati ikiwa angani kuelekea ...