Viongozi wa kidini wa Iran wanatathmini wateuliwa wa kumrithi kiongozi wao mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, ambaye aliuawa wiki iliyopita. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ...
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba Baraza la Wataalamu Machi 8 limemteua Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi Mkuu wa ...
Picha mpya zinaonyesha kile ambacho wachunguzi wanasema ni kombora la Marekani la Tomahawk lililoanguka mita chache kutoka kwenye shule na linalodaiwa kuwaua zaidi ya watu 165 mwanzoni mwa vita vilivy ...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lagangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wanatarajiwa kupunguziwa adha ya msongamano ...
Kwa Padri Robert Karanja Ireri, itachukua muda kuzoea kumwita rafiki yake Robert Prevost kwa jina lake jipya, Papa Leo XIV. Hadi alipochaguliwa , kama wengi, alimjua tu papa mpya kama Bob Prevost.
Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa kuongezeka kwa taarifa potofu duniani kumeanza kudhoofisha juhudi za misaada ya kibinadamu na hivyo kuyatumbukiza maisha ya watu kwenye hatari.
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi wa jumuiya hiyo. RAIS ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amebainisha mafanikio ya Kampuni ya Ndege ya ATCL, ambapo amesema kuwa hadi sasa imefanikiwa kuingiza zaidi ya dola za Marekani milioni 157. Aki ...
Maelezo ya picha, Kardinali Robert Prevost akiongoza sala kwa Baba Mtakatifu Francisko tarehe 3 Machi katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Vatican. 13 Mei 2025 Muda wa kusoma: Dakika 5 Robert ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amewakabidhi pikipiki, bajaji na maguta yenye thamani ya Sh.
Mamlaka imeshauriana na wadau katika sekta hiyo, ikiwa ni pamoja na chama cha waandishi wa habari. Hata hivyo, chama hicho kinafutilia mbali makala ambayo, ikiwa itapitishwa kama ilivyo, itaruhusu ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results