Simu zetu janja zinazidi kuwa na akili zaidi. Wiki iliyopita, Apple imekuwa kampuni ya hivi karibuni ya simu za mkononi kutangaza itaongeza akili mnemba (AI) kwenye mfumo wa uendeshaji wa simu zake.
Inasemakana Mark Zuckerberg ameanza ujenzi katika eneo lake lenye ukubwa wa ekari 1,400 kwenye kisiwa cha Hawaii cha Kauai, kutoka mwaka 2014. Anajenga makazi, yatakayo zalisha nishati na chakula.
Wakimbizi wana athari kubwa yakuwa na matatizo ya afya ya akili kuliko umma pana ya Australia. Na unyanyapaa unao zingira ugonjwa wa akili, uhaba wa uelewa kuhusu huduma zilizopo pamoja na uelewa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results